Tupigie
0800 11 0700
Bi. Justina Mashiba
Mtendaji Mkuu
Tazama Wasifu

Wapendwa watanzania wenzangu, Ili Kufanikisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano Tanzania kwa kikamilifu na kwa usawa, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) unalenga kuimarisha uwezo wa kushirikiana na watoa huduma za mawasiliano nchini ili kuhakikisha ufikiaji wa huduma za mawasiliano katika maeneo yote yenye mawasiliano hafifu pamoja na yale yasiyo na huduma hiyo kabisa. Katika kutekeleza majukumu yake, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wot... Soma zaidi