Eng. Peter Ulanga

CEO & Fund Manager: UCSAF

Mawasiliano Mipakani na maeneo maalum

Mradi kwa ufupi

Border and Special Zones project status by Feb, 2017

Kutangazwa zabuni

Januari, 2015

Idadi ya kata zilizotangazwa

12

Idadi ya kata zilizopata wazabuni

10

Idadi ya kata zilizokamilika hadi sasa

9

Idadi ya vijiji

35

Kusaini mkataba wa kuanza kwa mradi

Aprili, 2015

Kiasi cha fedha zilizotengwa kukamilisha mradi

1,480,783 USD

 

Mgawanyo wa kata kwa wazabuni walioshinda

Mzabuni

Idadi ya kata

Idadi ya kata zilizokamilika

Airtel

3

2

MIC

5

5

Vodacom

2

2

 

    
Na. Mkoa Wilaya Kata Vijiji Eneo lisilo na mawasiliano (km2) Wakazi wasio na mawasiliano Mtoa huduma
1 Arusha Longido Gelai lumbwa 2 540 3,780 Airtel
2 Arusha Ngorongoro Pinyinyi 2 2,075 8,312 Airtel
3 Iringa Iringa Rural Malenga Makali 5 446 5,462 MIC
4 Iringa Kilolo Ukwega 6 190 2,935 MIC
5 Mbeya Ileje Kalembo 4 11 766 Vodacom
6 Morogoro Ulanga Sali 2 265 4,919 MIC
7 Pwani Rufiji Mbwara 4 334 3,004 MIC
8 Ruvuma Nyasa Chiwanda 4 23 1,346 Vodacom
9 Ruvuma Nyasa Mbaha 4 44 4,183 MIC
10 Singida Manyoni Mwamagembe 2 7,893 6,457 Airtel
SUM 7 9 10 35 11,821 41,164  

Habari na Matukio
Ziara ya Kamati ya Miundombinu
Tarehe : 2018-07-11

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imefanya ziara katika ofisi za Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kwa ajil ...

Zaidi
UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE
Tarehe : 2016-09-07

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi an Mawasiliano Mheshimiwa Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu ...

Zaidi
Girls in ICT Day - Tanzania
Tarehe : 2016-04-06

Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeandaa warsha ya uvumbuzi wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa ...

Zaidi