Sera ya faragha

Tovuti ya Mfuko haichukui ama kunakili habari yoyote ya kibinafsi, isipokuwa ile ambayo imetolewa kwa ridhaa ama kama mrejesho kwa Tovuti hii. Ikiwa utatoa habari kwenye Tovuti hii, itatumika tu kwa kusudi lililotajwa. Haitatumia taarifa ama mrejesho utakaopokelewa kwa manufaa binafsi au kama fursa ya kibiashara.

Habari ya kibinafsi ambayo imekusanywa na Tovuti ya Mfuko itatumiwa na kufunuliwa kwa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote tu.