Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ulianzishwa chini ya Sheria ya Upatikanaji wa huduma ya Mawasiliano kwa Wote; Sura 422 ambayo ilikubaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo Januari 2007...