MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU
MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU
20 October, 2024
UCSAF itaendesha mafunzo ya TEHAMA kwa walimu wa shule za sekondari za umma kuanzia tarehe 07 Novemba hadi 11 Novemba 2024 katika vyuo vikuu vya UDOM,MUST NA DIT