Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)

PIGIA KURA MRADI WA MAWASILIANO YA SIMU

01 May, 2025 - 02 May, 2025
01:00:00 - 01:00:00
UCSAH HOUSE, DODOMA
ceo@ucsaf.go.tz

Mradi huu umetekelezwa na Serikali ya Tanzania kupitia UCSAF kwa kushirikiana na YAS (Honora) kwa kujenga minara 42 ya mawasiliano ya simu katika shehia 38 za Zanzibar.

Mradi umeboresha huduma za mawasiliano kwa wananchi zaidi ya laki mbili (200,000) ambao awali hawakuwa na huduma.

JINSI YA KUPIGA KURA Skani ama tumia link hii👇kujisajili na kupiga kura.

https://www.itu.int/net4/wsis/stocktaking/Prizes/2025/Vote?jts=T9UKMM

Hatua ya kwanza
Log in:  Baada ya ku-log in utaenda sehemu imeandikwa WSIS stocktaking.

Hatua ya pili
Register as a new user: Utatengeneza akaunti mpya. Baada ya hapo utaungia kwenye barua pepe yako ambayo umeitumia  kufanya usajili( registration).

Sasa unaweza kupiga kura. Tafuta⬇️⬇️

KIPENGELE CHA MRADI: AL C2. INFORMATION INFRASTRUCTURE

JINA LA MRADI: RURAL TELECOMMUNICATION IN ZANZIBAR- ▶️Kisha VOTE FOR THIS PROJECT 

PIGIA KURA MRADI WA MAWASILIANO YA SIMU
Je, una swali lolote kuhusu Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF)? Faili Maoni na Malalamiko! Universal Communications Service Access Fund Ripoti Hapa
Tuma malalamiko na mrejesho wako