NAIBU WAZIRI AKAGUA HALI YA UPATIKANAJI WA MAWASILINO NYANDA ZA JUU KUSINI
NAIBU WAZIRI AKAGUA HALI YA UPATIKANAJI WA MAWASILINO NYANDA ZA JUU KUSINI
Imewekwa: 12 January, 2025

Mhandisi Mwalami Kapipi wa Ofisi ya UCSAF Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa minara 758(DTP), kwa Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi MaryPrisca Mahundi(Mb) katika Ofisi za TCRA, Mkoa wa Mbeya.
Taarifa hiyo imewasilishwa wakati wa Ziara ya Mhe. Naibu Waziri kukagua hali ya Mawasiliano katika Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini pamoja na kukagua minara mipya inayoendelea kujengwa katika Mkoa wa Mbeya