Dira na Dhamira
Dhamira
Kuwezesha na kuratibu upatikanaji wa huduma za Mawasiliano vijijini na maeneo ya mijini yenye maendeleo duni kwa kushirikiana na wadau wengine wa sekta ya Mawasiliano ili kufikia maendeleo ya kiuchumi na kijamii sambamba na dira ya Maendeleo ya Tanzania ifikapo mwaka 2025
Dira
Kufanikisha upatikanaji wa huduma za Mawasiliano Tanzania kikamilifu na kwa usawa