Tufuatilie kupitia kipindi cha Redio
Tufuatilie kupitia kipindi cha Redio
21 January, 2025
Tufuatilie kupitia kipindi cha Redio cha Sauti za Asubuhi kinachorushwa na Shalom Redio Arusha (97.3Mhz) tukizungumzia maendeleo ya utekelezaji wa ujenzi wa minara 758 Kanda ya Kaskazini.
MUDA: Kuanzia saa mbili asubuhi siku ya Jumatano tarehe 22 Januari, 2025.