Angalizo
Angalizo
Maudhui ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote yanatolewa kwa madhumuni ya taarifa tu.
Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote hautakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo.
Taarifa kuhusu Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote inatolewa kwa misingi inayowezesha watu wote kutembelea tovuti na kuwajibika kupima umuhimu na usahihi wa maudhui.
Taarifa iliyomo kwenye tovuti ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote haipaswi kuonyeshwa isipokuwa katika mfumo kamili wa sklini.
Hakuna dhima itakayokubaliwa kwa taarifa yoyote au huduma itakayotokea katika mfumo mwingine wowote ule.
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote unaweza kuwaunganisha na tovuti za nje zilizo za serikali au zisizo za serikali (Tovuti za mtumiaji watatu) isipokuwa pale itakapoelekezwa vinginevyo;
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote:
- Hauidhinishi wala kuthibitisha maudhui ya tovuti ya mtumiaji wa tatu yeyote;
- Haushirikishwi au kuhusishwa na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti ya mtumiaji wa tatu; na
- Hauchukui jukumu au dhima yoyote kwa hali au maudhui ya tovuti ya mtumiaji wa tatu.
Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye tovuti ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, tafadhali wasiliana nasi.
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote
Ghorofa ya 2, Jengo la Zamani la Maabara ya Kompyuta,
Ndaki ya Habari na Elimu Angavu (CIVE)
S.L.P 1957
Chuo Kikuu cha Dodoma
Simu: +255 22 2965771
Nukushi: +255 26 2965770
Barua Pepe: ceo@ucsaf.go.tz
Tovuti: https://www.ucsaf.go.tz/index.php