Bi. Justina Mashiba

Wasifu
Ni Afisa Mtendaji Mkuu na mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), ambayo ni taasisi ya umma iliyoanzishwa kwa lengo la kupeleka na kufanikisha huduma ya mawasiliano kwa wananchi waishio katika maeneo machache ya mijini, na maeneo mengi yaliyo mbali vijijini yasiyo na mvuto wa kibiashara kwa watoa huduma ya mawasiliano.