Tufuatilie kupitia kipindi cha Redio
Tufuatilie kupitia kipindi cha Redio
22 January, 2025
Tufuatilie kupitia kipindi cha Redio cha Dodoma Live kinachorushwa na Dodoma FM Redio, Dodoma (98.4Mhz) tukizungumzia maendeleo ya utekelezaji wa ujenzi wa minara 758 Kanda ya Kati.
MUDA: Kuanzia saa 2:30 asubuhi siku ya Alhamis tarehe 23 Januari, 2025.