MRADI WA MINARA 758 KUSHINDANIA TUZO ZA WSIS 2026
Serikali kupitia UCSAF imetekeleza mradi wa ujenzi wa minara 758, ambao umeunganisha vijiji 1,400 na kuwafikia zaidi ya wananchi milioni 8.5, ukibadilisha maisha kupitia mawasiliano ya uhakika vijijini.
Sasa unaiwakilisha Tanzania katika Tuzo za WSIS 2026. Unga mkono ushindi huu kwa kupiga kura na kuonyesha nguvu ya maendeleo ya kidijitali kwa wote.
Jinsi ya kupigia kura mradi huu Tumia link hii👇kujisajili na kupiga kura.
https://www.itu.int/net4/wsis/stocktaking/Prizes/2026/Vote?jts=T9UKMM
KIPENGELE CHA MRADI: AL C2. INFORMATION AND COMMUNICATION INFRASTRUCTURE
JINA LA MRADI: CONSTRUCTION OF 758 TELECOM TOWERS UNDER DIGITAL TANZANIA PROJECT.
▶️Kisha VOTE FOR THIS PROJECT.
MWISHO WA KUPIGA KURA NI TAREHE 3 MAY, 2026
Piga kura sasa tuwakilishe Tanzania kimataifa!