Matangazo
Ofisi za Kanda
- 20 Sep, 2021
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) unawatangazia wananchi wote kuwa umefungua ofisi za Kanda katika Mikoa ifuatayo;
Kanda ya Ziwa
Jengo la NSSF Mafao House, Ghorofa ya 6
Barabara ya Kenyatta, Nyamagana.
Mwanza.
Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
Jengo la NHIF, Ghorofa ya 7
Barabara ya Karume, Uzunguni.
Mbeya.