Eng. Peter Ulanga

CEO & Fund Manager: UCSAF

Mnara wa mawasiliano katika kata ya Manda wilayani  Chamwino mkoani Dodoma ni moja ya matunda ya mradi wa mawasiliano vijijini awamu ya kwanza wa UCSAF Wataalamu wa huduma za mawasiliano wakikagua viwango na ubora katika moja ya minara ya kampuni ya mawasiliano ya Tigo katika kata ya Runzewe mkoani Geita uliojengwa chini ya mradi wa UCSAF wa mawasiliano vijijini, awamu ya kwanza. Washiriki wa Kongamano la Tiba Mtandao, liliofanyika katika Hoteli ya Stella Maris, Bagamoyo tarehe 4-5 Septemba, 2014. Mnara wa mawasiliano ya simu wa Airtel (T) Ltd uliojengwa chini ya mradi wa mawasiliano vijijini, awamu ya 1 ulioko kata ya Igagala wilayani Urambo mkoani Tabora Mtendaji mkuu wa UCSAF, Eng. Peter Ulanga (kulia) akitia saini mkataba wa mradi wa kufikisha huduma za mawasiliano vijijini wa  Awamu ya Kwanza B tarehe 22 Aprili, 2014 kati ya Watoa huduma za Mawasiliano na Mfuko. Katikati ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame M. Mbarawa (Mb) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Prof. John S. Nkoma.
Habari na Matukio
UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE
Tarehe : 2016-09-07

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi an Mawasiliano Mheshimiwa Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa mamlaka aliyonayo chini ya kifungu ...

Zaidi
Girls in ICT Day - Tanzania
Tarehe : 2016-04-06

Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imeandaa warsha ya uvumbuzi wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa ...

Zaidi
Usambazaji wa ving'amuzi
Tarehe : 2016-01-11

Mfuko wa Mawasiliano kwa wote umetiliana saini mkataba wa makubaliano na kampuni ya ving'amuzi ya Star Media kwa ajili ...

Zaidi

Karibu

Karibu kwenye tovuti ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote. Tovuti hii imetayarishwa kwa madhumuni ya kukupa taarifa mwananchi ambaye ndiye mlengwa mkubwa wa shughuli za Mfuko. Kupitia tovuti hii utaweza kupata taarifa muhimu za Maendeleo ya miradi mbali mbali ya mawasiliano inayosimamiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote katika maeneo mbali mbali hapa nchini. Pia unayo nafasi ya kushiriki kwa kutoa maoni yako kwa ajili ya kuboresha tovuti na shughuli za Mfuko kwa ujumla.

Ni matumaini ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote kuwa tovuti hii itakua kiungo muhimu kati ya Serikali na mwananchi katika kuhakikisha kila mwananchi wa Tanzania anapata mawasiliano hasa ya simu na mtandao na hivyo kuharakisha maendeleo na ustawi wa jamii katika nyanja zote.

...

Zaidi

Kuhusu UCSAF

Malengo ya Mfuko
Kazi za Mfuko
Muundo wa Mfuko
Wajumbe wa Bodi

Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Mfuko) ulianzishwa na Serikali kwa sheria namba 11 ya mwaka 2006 ambayo ilipewa jukumu kuu la kupeleka mawas ...

Zaidi